
Kutoka Tanzania hadi Cambridge: Ruth Zaipuna kuinadi NMB Kimataifa Nchini
Uingereza
-
Katika hatua muhimu kwa sekta ya benki nchini na uongozi wa taasisi za
kibiashara barani Afrika, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ruth
Zaipuna, ...
3 hours ago
3 Comments
Mdau New York City,Usa.
huwafundisha watoto wetu mambo mabaya wanapokuwa,pia mambo mengine ni kumdhalilisha mwanamke,Tunakoelekea sasa ni mwanamke wa kitanzania kukosa thamani,Siku hizi kuna mitandao ambayo jambo lolote likifanyika ni dunia nzima inaona.Aibu iliyosababishwa na Bhoke Afrika ya kusini imekuwa gumzo dunia nzima,sasa tena watu wamebuni mashindano haya ya mwanamke mwenye umbo la kiafrika !! Jamani tuwe waangalifu tunadhalilika sana ndani na nje ya nchi,hasa mwanamke mtanzania kwa kujirahisisha ili kuganga njaa,sijui umoja wa wanawake unafanya kazi gani kwa kutojali mambo machafu ya aina hii yakiendelea kila kukicha?na hasa Tanzania ?Mwenyezi mungu tuepushe na mabalaa haya wanawake wa Tanzania.
Jamila Halfani.
London,Uk.