Baadhi ya Mashabiki.
Diamond Platinumz akishambulia jukwaa.
Nguli wa Muziki wa
Kizazi kipya kutoka Tanzania, Nassib Abdul 'Diamond' akitumbuiza katika show
yake iliyofanyika katika uwanja wa Amahoro mjini Kigali Rwanda wakati wa
shamrashamra za siku kuu ya mwaka mpya. Diamond alikuwa Rwanda kwa mwaliko wa
East Afrika Promotors.
Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini
Rwanda, Butera Knowless anayetamba na kibao cha 'TULIA' akitumbuiza katika show
hiyo kali ya kufa mtu .Boss Lady Zari Hassan amabye ni mpenzi wa Diamond kwa sasa.
0 Comments