Bendi
maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni aka
"watoto wa mbwa" au viumbe wa ajabu "Anunaki anunnaki aliens"
yenye makao nchini Ujerumani,
inatoa
Salam za heri ya mwaka mpya 2015 kwa wadau wote popote pale
mlipo,mwaka
mpya 2015 uwe wa mafanikio ,Amani na Upendo kwa wote.
HAPPY
NEW YEAR 2015 ! HAPPY NEW YEAR 2015 !
msikose
burudani kamili bofya www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
0 Comments