Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na mabondia Shomari Mirundi katikati na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' anayejiandaa kugombani amkata wa UBO Africa na bondia Cosmas Cheka Feb 28
Bondia Ramadhani Kumbele kushoto
akipambana na moro best wakati wa mbambano wao kumbele alishinda kwa
pointi mpambani huo wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS
Dula mbabe akivalishwa glove na Shomari Kimbau |
Mabondia Abdallah Pazi Kushoto na Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mbambao wao wa kufungua mwaka uliomalizika kwa droo baada ya kugongana vichwa katika raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Abdallah Pazi Kushoto na
Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa
mbambao wao wa kufungua mwaka uliomalizika kwa droo baada ya kugongana
vichwa katika raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
0 Comments