Mbunge
wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie
wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete
katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili
Julai 13, 2014.
Meza Kuu katika
futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa
Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
Wananchi
wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho
Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini
MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
Wananchi
wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho
Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini
MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa
wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya
Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
0 Comments