Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante ole Gabriel, akiongea machache katika hafla ya kuhitimisha
michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika
ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Bongo Movie, Steve Nyerere akitoa shukrani zake kwa niaba ya wasanii
katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014
iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
0 Comments