MABONDIA WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA


Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati),katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao Dar es salaam juzi utakaofanyika siku ya tamasha la matumaini Agost 8 katika uwanja wa taifa picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

 
Wasanii ambao watazipiga siku hiyo Clouds 112 (kushoto) akimchimbia mkwara JB ambaye aliishia kumuangalia kidharau na kusema anasubiri siku ya Agosti 8 katika Uwanja wa Taifa.
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati),katikati akiwawa na mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao Dar es salaam juzi utakaofanyika siku ya tamasha la matumaini Agost 8 katika uwanja wa taifa picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Clouds 112 (kushoto) akizungumzia mpambano wake wa masumbwi na JB

Khalid Chokoraa wa Bendi ya Mapacha akizungumzia mpambano wake wa masumbwi siku hiyo
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Rais wa Chama cha Ngumi za Kulipwa nchini (T.P.B.O) Yasin Abdallah kushoto akizungumzia mchezo wa masumbwi siku hiyo
Mkutano ukiendelea. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (kushoto), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Post a Comment

0 Comments