Mbunge
wa Temeke, Abbas Mtemvu akiingia eneo lililopata madhara kutokana na
kuungua moto usiku wa kuamkia leo, katika soko la Keko, katika jimbo
hilo jijini Dar es Salaam. Mtemvu amewapa pole walipoteza mali zao
kutokana na moto huo ambao chanzo cha ke hakijajulikana. Hadi inakisiwa
imepatikana hasara ya zaidi ya sh. milioni 97.
Naibu
Katibu wa soko la Keko, Hassan Gitigi (kushoto) akimpa maelezo Mbunge
wa Temeke Abbas Mtemvu kuhusu madhara yaliyosababishwa na moto huo
Baadhi
ya wafanyabiashara katrika soko hilo akieleza hasara walizopata.
Wameeleza kwamba mbali na waliopata hasara ya kuunguliwa bidhaa na
mabanda yaop ya biashara, pia wapo waliopata hasara kwa maduka na
mabanda yaop ya biashara kuporwa na vibaka wakati wa tukio hilo la moto.
Mtemvu akizungumza na waliopatwa na madhara kuhtokana na moto huo
Mtemvu
akizungumza na baadhi ya viongozi waliofika kutoa pole kwa walipatwa na
madhara kwenye soko hilo. Picha zote na Bashir Nkoromo,
0 Comments