Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku
ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni 26-2014
katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal. akipata maelezo juu ya athari za
utumiaji wa madawa ya kulevya kutoka kwa Msanii Rehema Charamila (RC) wakati
alipotembelea mabanda ya maonesho, kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita
madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni 26-2014 katika viwanja vya
Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Akionyeshwa baadhi madawa ya kulevya
na Mkemia Daraja la kwanza Alois Ngonyani, alipotembelea mabanda ya maonesho
kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa
kitaifa leo Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Msanii Rehema
Charamila kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya
yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe
Mkoani mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Msanii Masanja
Mkandamizaji kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya
yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe
Mkoani mbeya.
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa mbeya na baadhi
ya Vijana walioathirika kutokana na kumia madawa ya kulevya wakiwa katika
maandamano kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya
yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe
Mkoani mbeya.
(Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wanafunzi
wa shule mbalimbali za Mkoa wa Mbeya baada ya kuhutubia kwenye ya maadhimisho
ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni
26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.
0 Comments