Bondia Jems Martn kushoto akitunishiana misuli na Hamza Mchanjo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi utakaofanyika katika ukumbi wa Zulu Paradaise uliopo Pugu Kirumba Road Picha na www.superdboxing coach.blogspot.com |
Dr, Mohamed Hassani 'Bula' akimpima Afya bondia Twalibu Mchanjo baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano na Adamu Ngange jumamosi hii
Bondia Twalibu Mchanjo akipima uzito |
0 Comments