Katibu
wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro
akizungumza wakati sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa
CCM (UWT) leo kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa PLO, Tayseer Khalid
(Wapili kulia) na ujumabe wake, kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es
Salaam.
Mamia
ya wanachama wapya wa CCM ambao wengi wao ni vijana, wakiwa katika
picha ya p0amoja na viongozi baada ya kupewa kadi zao katika sherehe
maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) leo kumkaribisha
Makamu Mwenyekiti wa PLO, Tayseer Khalid (Wapili kulia) na ujumabe wake,
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Kinamama wakimwayamwaya wakati wa sherehe hiyo
Wengine wakigaragara chini kwa furaha wakati wa sherehe hiyo
Kikundi cha Vijana wa CCM cha Ilala wakionyesha umahiri wao wa kuchgeza sarakasi wakati wa sherehe hiyo
Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi akimwekeza jambo, Mwenyekiti wake, Sophia Simba wakati wa sherehe hiyo
0 Comments