Alex
Msama akikabidhi hundi yenye thamani ya sh. milioni 1.2 kwa ajili ya
kulipia ada ya wanafunzi walioshindwa kwenda shule kwa ajili ya kudaiwa
ada.
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akizungumza
na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi vitu mbalimbali kwa
ajili ya kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha
Mwendaliwa.
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akikabidhi magodoro kwa mlezi wa kituo hicho.
Watoto
wa Kituo cha Mwendalewa kilichopo Boko wakipokea msaada wa vifaa
mbalimbali kwa ajili kituo hicho kutoka kwa Mwenyyekiti wa Tamasha la
pasaka Alex Msama.
Sehemu ya msaada uliotolewa na Msama Promosheni.
0 Comments