Mabondia Mariam Abdallah kushoto na Lulu Kayage wakiwa wamepozi kwa ajili ya picha za mpambano wao utakaofanyika jumapili ya june 16 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala bungoni Dasr es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Patrick Kavako 'Baunsa' wa morogoro kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunisha misuli mbele ya kamera baada ya kupima uzito wao kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili june 16 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala Bungoni Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |

0 Comments