Waziri
Mkuu Mh Mizengo Pinda akifungua pazia ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa
tawi la kumi nasita la Akiba Commercial Bank katika mkoa wa Dodoma
kushoto kwa waziri mkuu nimkurugenzi mtendaji wa bank ya ACB anaye
fuatia ni Kaimu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa bank ya ACB Bibi
Elizabeth Minde na anaye fuatia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodom Mh Dr Rehema
Nchimbi. (Picha na Chris Mfinanga)
Waziri mkuu akipokea za wadi kutoka kwa kaimu wa bodi ya wakurugenzi ya ACB Bibi Elizabeth Minde
Waziri mkuu akipokea za wadi kutoka kwa kaimu wa bodi ya wakurugenzi ya ACB Bibi Elizabeth Minde
Waziri
Mkuu Mh Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi la kumi
na sita la Bank ya Akiba Commercial Bank mkoani Dodoma wanao shuhudia
kukulia kwa waziri mkuu ni Mkurugenzi mtendaji wa ACB bwana Jonh Lwande
kushoto kwa waziri mkuu ni mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh Dr Rehema Nchimbi
anaye fuatia ni Kaimu wa bodi ya wakurugenzi ya ACB Bibi Elizabeth
Minde
Kikundi marufu changoma ijulikanayo kwa jina la Mchoya kikiburudisha wakati wa uzinduzi wa tawi la ACB mkoani Dodoma
0 Comments