Mwandishi wa habari wa wa Gazti la Uhuru kwa mkoa wa arusha Mustapha akichangia damu mapema jana jijini Arusha, wakazi
wengi mkoani Arusha walijitokeza na kuchangia damu katika mpango wa Damu
salama mkoani humo.
Mmoja wa wanawake ambaye jina lake halikupatikana mara moja mkazi wa mkoa wa Arusha akitoa damu ,alipojitoeza kuchangia damu salama Mkoani Arusha jana,Picha na Gladness Mushi wa Fullshangwe -Arusha
MSD YAJIVUNIA MAFANIKIO UPATIKANAJI DAWA,VIFAA TIBA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Dodoma
BOHARI ya Dawa(MSD) ambayo ni taasisi iliyoundwa kisheria mwaka 1993
ikifuatiwa na maboresho mbalimbali ya sheria ili k...
Fulham vs Aston Villa na Vita Ya Aalama tatu
-
Mchezo wa Ligi Kuu ya England kati ya Fulham na Aston Villa unaotarajiwa
kupigwa Aprili 25, 2026, ni pambano muhimu kwa timu zote mbili katika hatua
za m...
MAZIKO YA MPENDWA WETU HASSAN NG'ANZO
-
*Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja katika siku ya msiba wa
mpendwa wetu Hassan Ng'anzo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori mapema siku ya
Ijumaa M...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments