Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk Willibrod Slaa akifungua Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kinondoni kuhusu Uhai wa Chama uliofanyika Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Ofisa wa Sera na Utafiti wa Chadema, Mwita Mwikwabe Waitara na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Subira Waziri (wa tatu kulia). (Picha na Habari Mseto Blog).
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akizungumza na wajumbe waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kinondoni
Ofisa wa Sera na Utafiti wa Chadema, Mwita Mwikwabe Waitara
0 Comments