Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
akifunua pazia ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba 48 za
kuuza za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Ilala Mchikichini, Dar es
Salaam jana.Anayeongoza kupiga makofi kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC,
Nehemia Mchechu.
(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu
(kulia), akimkaribisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Profesa Tibaijuka kuzindua mradi huo.Waziri Tibaijuka akihutubiwa wakati wa hafla hiyo
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli akihutubia
Profesa Tibaijuka akikagua ujenzi huo
Moja ya majengo yanayojengwa eneo hilo
0 Comments