Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam, tarehe 14, Novemba 2024.
VIONGOZI WA CCM KATIKA PICHA Z’BAR
-
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi,
aki...
6 hours ago
0 Comments