Kiongozi
mzuri ni yule anayejitoa kwa watu wake..Leo hii nikiwa Mwenyekiti wa
Ccm kata ya Jangwani nimekabidhi vifaa vya Michezo kwa Uongozi wa Timu
ya Uhuru na Mzalendo ambayo inajiandaa na Mashindano ya Nssf Cup.Vile
vile wiki hii nitakabidhi Vifaa vya Michezo kwa Timu 6 zilizopo ktk Kata
yangu,hii yote ni ktk kutekeleza Ilani ya Chama changu (ukisema
najipanga juu yako) KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
ERIC CHELLE ATANGAZWA KOCHA MPYA TIMU YA TAIFA NIGERIA
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Mali Eric Chelle amelamba dili
kuiongoza timu ya taifa ya Nigeria “The Super Eagles “.
...
55 minutes ago
0 Comments