Jengo la Club Bilicanas JIjini Dar es Salaam limeanza kung'olewa paa lake hali ambayo imeashiria kwamba jengo hilo ambalolilikua na Club matata ya burudani ambayo ilijizokea sifa na umarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati kubaki historia
Hatua hiyo ya ubomoaji imekuja baada ya mmiliki halali NHC , kushinda kesi iliyofunguliwa na Mbowe Hotels ambao walikuwa wapangaji wa muda mrefu kwenye jengo hilo waliokuwa wakipinga kundolewa katika jengo hilo ambapo mbali ya kuendesha Club Bilicanas pia kulikuwa na ofisi za gazeti la Tanzania Daima.
Jinsi jengo hilo linavyoonekana huku ubomoaji ukiendelea.
ITA KUJA NA KOZI YA UZAMILI WA FORODHA KUKIDHI SOKO LA WATAALAMU
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
CHU0 Cha Kodi (ITA) kimewakutanisha wadau mbalimbali wa ikiwemo sekta ya
forodha, kodi na elimu kujadili namna ya kuandaa ko...
2 hours ago


0 Comments