Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo tarehe 12 Januari, 2025.
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi akipungia mkono wananchi hawapo pichani kwenye maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo tarehe 12 Januari, 2025.
0 Comments