Meneja masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Ephraim Mafuru
akizungumza katika uzinduzi wa bia mpya ya Senetor Extra Lager ambayo
imeanza kuzaliashwa na kusambazwa na kampuni hiyo. Bia hiyo inawalenga
wachapakazi wa hali ya chini kabisa, wakulima, wavuvi na wengineo wa kanda
ya ziwa na majirani zake. Bia ya Senetor itauzwa kwa bei nzuri ya shilingi
elfu moja na mia tatu tu (1,300/-) picha zote na Mashaka Balterzar.
Meneja masoko wa BSL Ephraim Mafuru akibadilishana mawazo na baadhi
ya viongozi wa kampuni hiyo baada ya uzinduzi wa bia ya Senoator, jijini
Mwanza jana.
ya viongozi wa kampuni hiyo baada ya uzinduzi wa bia ya Senoator, jijini
Mwanza jana.
a
Meneja mauzo wa Kanda ya Ziwa, Stanslaus Theophile
akizungumza na watumishi, mawakala na wadau wa SBL katika uzinduzi wa bia
mpya ya Senator Extra Lager.
Meneja mauzo wa Kanda ya Ziwa, Stanslaus Theophile
akizungumza na watumishi, mawakala na wadau wa SBL katika uzinduzi wa bia
mpya ya Senator Extra Lager.
Watumishi wa SBL, mawakala na wadau wa kampuni hiyo wakimsikiliza
Meneja Masoko wa kampuni hiyo Ephraim Mafuru wakati wa uzinduzi wa bia ya
Senator Extra Lager jana Jijini Mwanza.
Meneja Masoko wa kampuni hiyo Ephraim Mafuru wakati wa uzinduzi wa bia ya
Senator Extra Lager jana Jijini Mwanza.
0 Comments