“Ni vyema sisi kama watanzania tukachangia kukuza maendeleo yetu wenyewe katika michezo, na si katika soka peke yake, bali kwa michezo yote kwa ujumla”--
Mkurugenzi wa Radio One Stereo Deogratius Rweyunga akitoa shukrani kwa kampuni ya MeTL kwa kuona umuhimu wa kuchangia ili kufanikisha mashindano hayo na kuzitaka kampuni zingine kuiga mfano huo.(Picha Zote na Zainul A. Mzige, Operation Manager,MO BLOG,www.mohammeddewji.com/blog
+255714940992.)
+255714940992.)
0 Comments