Mwakilishi wa timu ya Ruvu Shooting iimechaguliwa kuwa timu yenye nidhamu hivyo wamepata zawadi ya Mil.6.2
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Salum Rupia akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh.Mil. 42 iliyotolewa na wadhamini wa michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom ambao pia ndiyo washindi wa Ligi hiyo hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya City Paradise leo mchana ambapo Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Emmanuel Nchimbi ndiye alikuwa mgeni rasmi.
0 Comments