Mkurugenzi wa Kampuni ya Zum Fashion Zuwena Mustafa akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani katika mkutano uliofanyika leo kwenye hoteli ya Paradise City Jijini Dar es Salaam.Mazoezi ya warembo wa Miss Kurasini 2011 yanaendelea katika ukumbi wa Equator Grill uliopo Mtoni Sabasaba washiriki hao watachuana katika kumpata mwakilishi katika Kanda ya Temeke yaani Miss Temeke 2011.Shindano hilo limepangwa kufanyika kwenye ukumbi wa Equator Grrill Juni 3 mwaka huu .Zuena anawataja wadhamini wa shindano hilo kuwa ni Vodacom , Dodoma Wine, Cloud's FM, Jambo Leo, Rozela Saloon & Boutique, Condy Beaure De Change , Madilisha Video Production, Paradise City Hotel, Giraffe Oceanic View Hotel ,Trace Hills, Six Sinde na Free Voice.
BUNGE LA 13 LAUNDA KAMATI 17, UPINZANI WAPENYA HUKU WANAWAKE WAKIWA WENGI
ZAIDI
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Bunge la 13 limeunda jumla ya Kamati 17 huku wanawake wengi wakichomoza
kuongoza kamati hizo, Wabunge wa upinzani wa ...
1 hour ago
0 Comments