MSIMU WA MVUA BONGO NA KERO ZA KUJAA MAJI KILA KONA

Hapa ni katika eneo la Mikocheni Chama Jijini Dar es Salaam ambapo kumejaa maji kutokana na miundombinu kuwa mibovu hapa jamaa akaamua kupiga mbizi kwa ujira wa sh.500 tu. Gari hili likipita kwa taabu lakini madogo yasingeweza kupita.

Post a Comment

0 Comments