SERENGETI FIESTA FILM YAFANA TANGA



Baadhi ya wakazi wa Jiji la Tanga wamejitokeza leo katika kushuhudia kupatikana Kwa wawakilishi na washindi katika tasnia ya filamu zoezi hilo la siku moja limefanyika kwenye Ukumbi wa La Casa Chika.

Msimamizi wa Serengeti Film Fista Zamaradi Mketema akishauriana jambo na meza kuu ambayo ndiyo walikuwa majaji.
Hapa wakiigiza mbele ya hadhira huku majaji hawapo pichani wakishuhudia nani mkali.

Post a Comment

0 Comments