Myute wakiwa katika moja ya miondoko leo jioni hapa ni kabla ya kuibuka vinara wa Serengeti Dansi la Fiesta 2011.
Vinara wa kundi la Myute Dancers hapa wakiwa katika moja ya miondoko ambapo wameonekana kuwa kivutio , wabunifu na kumudu jukaa kwa ujumla.
Kundi la Moro Squard hapa wakiwa katika picha ya pamoja ambapo walitolewa katika hatua ya awali.Katika shindano hilo la siku moja yaliyofanyika leo Morogoro Makundi manne yalijitokeza ambayo ni Myte Dancers , Celebrate Dancers, Moro Squad na Gentleman Dancers.
Kundi la Moro Squard hapa wakiwa katika picha ya pamoja ambapo walitolewa katika hatua ya awali.Katika shindano hilo la siku moja yaliyofanyika leo Morogoro Makundi manne yalijitokeza ambayo ni Myte Dancers , Celebrate Dancers, Moro Squad na Gentleman Dancers.
Meneja wa Bia ya Serengeti Kanda ya Kusini Albaert Nsanzugwanko akitoa zawadi ya fulana kwa mmoja wa kundi la Gentleman ambalo lilingia fainali ya Serengeti Dansi la fiesta lililofanyika leo kwenye ukumbi wa Four Stars Morogoro.
Hapa ni kunesa na miondoko tu kama mnavyoona.
Moja ya baadhi ya mbwembwe zilizofanyika mara baada ya kundi la Myte Dancers kutangazwa washindi.
Washindi wa shindano linalofahamika kwa jina Myte Dancers leo limetia fora na kuibuka vinara katika tamasha la siku moja linalokwenda kwa jina la Serengeti Dansi Fiesta lenye maskani Mji Kasoro Bahari yaani Morogoro hapa wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa Mkoa huu ndiyo umefunga pazia la kusaka makundi ambapo wataungana na makundi mengine yalisyoshinda katika mikoa ya Mbeya, Iringa, Tanga, Mwanza ,Visiwani Zanzibar na makundi yatakayotoka katika Wilaya tatu za Jiji la Dar es Salaam ambazo ni Temeke, Ilala ambapo litasakwa kundi moja litakalongpanda kwenye jukwaa la Tamasha kubwa Bararani Afrika la Serengeti Fiesta 2011.
0 Comments