SERIKALI YAPIGA STOOP KIKOMBE CHA BABU LOLIONDO

Hapa dawa inayosadikiwa kutibu magonjwa matano yanayo tesa wengi ikichemshwa.
Mmea anaoutumia Mchungaji Ambilikile kutibu magonjwa sugu huko Loliondo.
Picha ya chini dawa ikiandaliwa.
Waziri wa afya Dr Haji Mponda amemtaka mkuu wa mkoa wa Arusha Isdori Shirima kuzuia haraka matibabu ya magonjwa sugu yanayoendeshwa na Mchungaji Ambilikile Mwasapile huko Loliondo.Zuio hilo linatokana na kusudio la Serikali kujiridhisha na hali ya usalama wa wagonjwa wanaotibiwa na uchunguzi wa uwezo wa dawa hiyo. Ina sadikiwa watu zaidi ya 3,000 hunywa maji hayo yenye tiba kwa siku.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
Yes angekuwa Sheikh Yahaya is okay, lakini sababu ni Mkristu oh, oh, usafi,,,acheni zenu hizo. Tumechoka kunyanyashwa kiasi hicho.