Ni kama kipande kilichobakia cha mwisho wa hadithi. Lakini kuielewa vizuri, inakubidi urudi mwanzo. Hivyo unapaswa kukusanya nakala za majarida ya mwanzo, ambayo yamebaki nakala chache tu! Jarida hili jipya (linaoloonekana hapo juu) limeshehena habari moto moto zikiwemo za warembo wote waliotokea katika majarida ya awali ya Shear Hair & Beauty na tena sio mkusanyiko wa habari za nyuma bali ni mkusanyiko wa vitu vilivyoiva vinavyoenda na wakati.
Utapata ladha mpya ikiwemo kuhusu Lady Jaydee, Rita Paulsen na warembo wengineo kuhusu mchango wao katika kujitolea kwa jamii yetu. Ni ‘Grand Celebration’ kusherehekea mwaka mzima wa jarida hili kuwepo katika soko la ulimbwende hapa nchini. Jarida la Shear Hair & Beauty Magazine toleo la saba lipo mtaani Sasa. Wahi upate nakala yako sasa linapatikana katika supamarket zote pamoja na wauzaji wa magazeti Dar na mawakala wa magazeti mikoani.
MNEC KASESELA,MWAKA 2025 NI MWAKA WA KUTENDA HAKI,UTU NA UPENDO
-
Mjumbe wa Halmshauri kuu ya chama cha Mapinduzi taifa MNEC Richard Kasesela
amesema kuwa mwaka wa 2025 utakuwa mwaka wa kutenda haki kwa kila jambo na
k...
23 minutes ago
0 Comments