Mkurugenzi na mmiliki wa bendi ya The African Stars 'Twanga Pepeta' Asha Baraka pichani juu amekanusha vikali uvumi wa habari kwamba msanii wake galacha wa bendi hiyo Camarade Ally Choki kaondoka Twanga Pepeta.
Akizungumza na Bongoweekend , Asha anasisitiza kwa kusema kuwa Choki alisaini mkataba na Kampuni inayomiliki bendi hiyo African Stars Entertainment (Aset),2015 na mkataba huo utafikia ukomo mwaka 2018 hivyo hizo habari za kuondoka kwake hazina ukweli wowote zipuuzwe.
UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI WAFIKIA ASILIMIA 99.9
-
Vitongoji 33,657 vimefikiwa
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa
mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na ume...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments