Social Icons

Friday, July 1, 2011

WADAU NIKO KATIKATI YA NCHI YA TANZANIA YAANI DODOMA KATIKA MPANGO MZIMA WA SERENGETI FIESTA 2011,HAINAMAJOTROOOO

Habari zen'u,banaaa haina Majotrooo wadau wa blogu yenu pendwa nashukuru mungu tumeingia salama usalimini katika mji wa Dodoma tukiwa na msafara wa Wapiganaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti ikiwa ni mahsusi kwa ajili ya Tamasha kubwa linaloendelea la Serengeti Fiesta linalofanyika kwa mwaka wa kumi sasa.Niko pande za Area C jamani , hali ya hewa ni nzuri na safi sanaa.Leo usiku kutakuwa na bonge la pati kwa watu maalum yaani VIP itakayofanyika katika ukumbi wa Royal Village na kati ya Area D.Kesho wakazi wa mji wa Dom watajiachia kwenye Uwanja wa Jamhuri ambako wasanii kibwena watakuwepo.Tuko pamoja kama kawa kama dawa baadaye ni mapichaazz tu kwa kwenda mbele.Kwa heshima na taadhima nawatakia nyote wikiendi njema na nawapenda wote mmwaaaa.

4 comments:

Anonymous said...

NICE JOB! WE ARE WAITING......

Anonymous said...

Sasa mbona taswira hiyo niyamwanza! Dodoma hakuna maeneo tulivu mdada wewee?

Anonymous said...

wewe naye umezidi kujishaua huna cha kutuwekea na njaa zako kazi kujipendekeza kwa tedy mapunda una ata haya fanya kazi yako kila siku sbl sbl mtu mzima ovyoo kujifanya msichana mdogo

Anonymous said...

Anonymous wa saturday July 2, kwanini unatuchafulia hali ya hewahapa jamvini? Dada huyu sidhani kama amekosea kutuhabarisha ya huko aliko tene kwa gharama zake. Sasa kma amekukera basi ungemezea kimya kimyaa ubaki nalo.Mara nyingine maneno ya namna hii hayaleti maana katika sehemu tulivu kama hii.Sasa utuuzima wake unahusiana nini na matukio ya fiesta? TUNAKUSAMEHE BUREEEEEEE

 
 
Blogger Templates