Hii ni gari ya Tevez ikionekana kwa nyuma ilivyovyunjwa vioo na mkewe Isha Mashauzi baada ya kukosa talaka.Tukio hili lilitokea Tandale kwa Tumbo Dar es Salaam nyumbani kwa Tevez.Tukio hili liliropotiwa na Blog hii mwishoni mwa wiki ambapo wenza hawa wanadaiana talaka.Isha anataka talaka huku Tevez akidai wafuate njia sahihi na siyo kuachana kihuni.
MBETO: WATALII WAFURIKA ZANZIBAR
-
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Miji ya Unguja na Pemba Zanzibar imefurika watalii wanaokuja kuvinjari
katika fukwe namba tatu kwa ubora Duniani, kipindi hi...
7 minutes ago



1 Comments