Social Icons

Friday, September 24, 2010

Mwisho anahitaji kura yakomwokoe asitoke BBA 2010

Tatiana(Angola)
Lerato (Afrika Kusini).
Jeniffer (Msumbiji).Ambaye alitoka mjengoni katika jumba la All Stars Jumapili iliyopita Septemba 19 na kuingia zizini, alitupwa na nchi yake ambayo ilimpigia kura Munya ili aendelee kubaki katika jumba la BBA All Stars na kumtosa Jen ambaye alipigiwa kura na nchi moja tu Nigeria alijikuta akitoka na kwenda zizini na kuungana na wenzake waliotoka awali katika jumba la All Stars ambao ni Sheila, Paloma, Tatiana, Hanighton na Lerato.Aidha kwa mujibu wa maoni yaliyotolewa na mashabiki wengi wa mchezo katika mtandao wa BBA All Stars yanasema kitendo hicho cha kumbakisha Munya ambaye amekuwa akitajwa kutolewa mara nyingi na kuokolewa kinamweka mwisho katika hali ya hatari ya kutofanya vyema.Kuendelea kubaki kwa Munya ndani ya jumba huku Mwisho akionekana kupoteza matumaini ya kushinda mchezo huo
Paloma (Zambia).
Mwisho (Tanzania) na Munya (Zimbabwe).
Pia usisahau kumpigia kura Mwisho,Merly ,Uti na Kaone. zaidi Mwisho na Merly kwani wao ndiyo wanaovutia zaidi katika BBA Superstars kwa kutumia Website au WAPsite katika simu yak kwa kutuma ujumbe mfupi
Tanzania,Vodacom 15726 Tsh 600,Celtel 15726 Tsh 600,Tigo 15726 Tsh 600,Zantel 15726 Tsh 600, SASATEL 15726 Tsh 600
Merly(Namibia).Amevunja ukimya wiki hii baada ya kumuwakia Mwisho kuhusu tabia ya kumlilia wivu na kumkataza kuwa karibu na washirki wengine wa kiume ndani ya jumba la BBA All Stars,Merl ni mshiriki pekee wa kike aliyebaki katika jumba hilo.
Sheila (Kenya). Picha zote kwa hisani ya Multichoice Tanzania.

No comments:

 
 
Blogger Templates