Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United Democratic Party (UDP), Mhe. Saum Hussein Rashid. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Juma Khamis Faki (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).

Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United Democratic Party (UDP), Mhe. Saum Hussein Rashid akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Juma Khamis Faki (kushoto) wakionesha begi la fomu za uteuzi walililokabidhiwa na Tume.

Mgombea Mwenza, Mhe. Juma Khamis Faki akisaini kitabu.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United Democratic Party (UDP), Mhe. Saum Hussein Rashid akisaini kitabu.
Mgombea wa UDP akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa fomu.Baadhi ya wanachama wa UDP wakiwa katika ukumbi wa utoaji fomu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ndg. Ramadhani Kailima akizungumza wakati wa utoaji fomu za uteuzi kwa wagombea wa Chama cha UDP.
Baadhi ya wanachama wa UDP wakiwa katika ukumbi wa utoaji fomu.











0 Comments