Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro katika Makao Makuu ya Ofisi za NCAA Wilayani Karatu Mkoani Arusha leo Mkoani Arusha.
Baadhi ya Askari Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb)(hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Ofisi za NCAA Wilayani Karatu Mkoani Arusha leo Mkoani Arusha.
DOYO AONGOZA KIKAO CHA TATHIMINI YA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBA 2025.
-
Na Mwandishi Wetu,TANGA
KATIBU MKUU wa Taifa wa Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo leo January 6 mwaka
huu 2026 ameongoza kikao cha Tathimini ya Uchagu...
1 hour ago



0 Comments