RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA NA KUGAWA NDEGE ZA MAFUNZO YA AWALI JWTZ

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Jijini Dar es Salaam leo Agosti 28
Rais  na Amiri Jeshi  Mkuu  Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizindua  na kugawa ndege za mafunzo ya awali  ya marubani ya usafirishaji  kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Jijini Dar es Salaam. 

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan  akiwa amesimama pamoja na viongozi  wengine wakati wimbo wa taifa ukiimbwa kabla ya  haflafupi ya uzinduzi  na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya marubani na mabasi  ya usafirishaji  kwa Jeshi la Wananchi  la Tanzania (JWTZ) katika hafla iliyofanyika  kikosi cha usafirishaji  Jijini Dar es Salaam.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt.Samia Suluhu Hassan  akizungumza na  Maafisa  na Askari wa  Jeshi la Ulinzi  la  Wananchi (JWTZ)  wakati wa hafla ya  uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali na mabasi  ya usafirishaji.
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye picha ya pamoja na  Mkuu  wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  (CDF) Jenerali Jacob Mkunda mara baada ya  hafla ya  uzinduzi  na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani  JWTZ. 
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan  akizungumza  na Maafisa na Askari  kwenye hafla ya uzinduzi  na kukabidhi  ndege  za mafunzo ya awali kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

Post a Comment

0 Comments