Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi kiwanda cha Sigara cha Serengeti SCC Mkoani Morogoro leo Agosti 6.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka jiwe la Msingi la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) katika eneo la Kiwanda cha uchakataji tumbaku Mkwawa (MTPL) Mkoani Morogoro tarehe 06 Agosti, 2024.
TANZANIA KUENDELEA KUTUMIA AKILI UNDE KUKABILIANA NA MAAFA
-
Na Mwandishi Wetu, Masvingo - Zimbabwe.
TANZANIA imesema itaendelea kutumia teknolojia ya Akili Unde (AI) katika
kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa ...
6 hours ago





0 Comments