Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu za wageni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya leo Agosti 27 /2024
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi Kenya leo Agosti 27,2024.
Rais DKT. Samia awasili Nairobi Kuhudhuria hafla ya uzinduzi ya wa kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga , Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Ardhi Kazi za Umma Nyumba na Maendeleo ya Miji Mhe.Alice Muthoni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi.
NOTI MPYA KUANZA KUTUMIKA FEBRUARI MOSI, 2025
-
Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya
za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mh...
1 hour ago
0 Comments