DKT.MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AMUUNGA MKONO ODINGA (AU)

Rais  wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa kapeni ya  Waziri Mkuu Mstaafu  wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Raila Amolo Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa (AU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan  akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Ruto
kutokakushoto ni Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa na Mhe.Rais  wa Jamhuri ya Kenya William Ruto.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Raila Amolo Odinga akizungumza  wakati  wa hafka ya  uzinduzi  wa  Kampeni  ya kuwania nafasi  ya Mwenyekiti  wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika( AU).





Post a Comment

0 Comments