Serikali kupitia Wizara yake ya Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo leo asubuhi wametangaza kumfungia msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi kujihususha na masuala ya sanaa ikiwemo kutumbuiza mahali popote.
Akikzungumza na waandishi wa habari wizarani hapo Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara hiyo Zawadi Msalla, ametoa onyo kali kwa watu kutousambaza wimbo huo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp.
Amesisitiza kuwa kwa yeyote atakayekiuka agizo hilo atashitakiwa kwa kutumia sheria ya makosa ya mtandao.
POLISI PWANI YAJIVUNIA MAFANIKIO YA OPERESHENI NA MISAKO
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia
Septemba hadi Novemba 2025 ambapo wamefanya misako ya kuzuia na
kutanzua ...
7 hours ago

0 Comments