RIPOTI YA CAG ASAD IMEJAA UFISADI

Ulaji na  uzembe vinatajwa kubeba sehemu kubwa ya ripoti Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabuza Serikali CAG.
Misamaha ya kodi 2014/15 ni asilimia 2 ya pato la taifa kinyume cha asilimia 1 Halmashauri 40 hivi ndo zenye hati safi kati ya halmashauri zaidi ya 160 Bidhaa bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapa hapa nchini. Upigaji huo wa ukwepaji kodi.
Bidhaa za bilioni 89 za nje hakuna ushahidi kama zilienda Rwanda, Burundi na Uganda.
Rufaa za kodi nyingi mno zimedoda Mahakamani na hivyo kuikosesha serikali kodi Deni la Taifa hadi Juni 2015 lilifikia trilioni 33.5. Ndani ya mwaka mmoja lilikua kwa trilioni 7!
Malipo kwa deni kwa mwaka ni trilioni 4. Deni na mishahara inamaliza mapato yote ya taifa.
CAG anahoji, tutapata wapi pesa za maendeleo? CAG Anataka maduka ya fedha za kigeni yadhibitiwe Vyama vya siasa, kimoja tu kimewasilisha hesabu.
Vyama 21 bado, Msajili afuatilie. Hajakitaja chama kilichowasilisha. Mishahara hewa katika Taasisi za umma 16 ni Shilingi bilioni 390.
Mishahara ambayo haikulipwa na haikurejeshwa hazina ni bilioni 2, Aidha Sh. Milioni 700 za makato ya watumishi kwa Katavi na Kilimanjaro hayakuwasilishwa kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia Sh. Milioni 827 za vifaa vya upigaji kura zilitumika kwa kazi isiyo na tija katika Uchaguzi 2015 Nakala 158,003 za Katiba Pendekezwa hazikusambazwa kwa walengwa wakati wa mchakato wa Katiba Mpya Alisema manunuzi yenye thamani ya Sh. Bilioni 27 yalifanywa na Mashirika ya Umma bila ushindani Cheti cha uendeshaji ATC kimeisha muda tangu 2010.
ATC ina Wafanyakazi wengi kuliko kazi zilizopo Bidhaa za bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapahapa nchini. Nia ni kukwepa kodi! Bidhaa za Sh. Bilioni 89 za kwenda nje hakuna ushahidi kama zilienda Rwanda, Burundi na Uganda.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad amekabidhi ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2015 bungeni leo ili iweze kujadiliwa na wabunge katika Bunge la bajeti ya mwaka 2016/2017.
Katika ripoti yake, CAG ametoa mapendekezo kadhaa ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili kuboresha matumizi ya fedha za Serikali kwa malengo yanayokusudiwa.
Miongoni mwa maeneo ambayo CAG ametoa mapendeklezo ni Ofisi ya Masjili wa Vyama vya Siasa nchini ifuatilie suala la uwasilishaji wa taarifa za fedha kwa wakati kulingana na matakwa ya sheria.
Hatua hiyo ya CAG inafuatia ukaguzi uliofanywa kwenye vyama vya siasa nchini vyenye usajili wa kudumu ambavyo jumla yao ni vyama 22. Prof. Assad alisema kuwa kati ya vyama hivyo vyenye usajili wa kudumu, ni chama kimoja ndicho kilichowasilisha hesabu zake kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Januari hadi Juni 2015 ambacho ni Chama cha Wananchi (CUF).
Vyama vingine 21 havikuwasilisha vitabu vya hesabu kwa ajili ya ukaguzi kinyume cha kifungu Na. 14 cha Sheria ya vyama vya siasa Na. 5 ya mwaka 1992. CAG ataka UDA irejeshwe serikalini.
Mwenyekiti wa Bodi ya UDA, Idd Simba aliwekewa sh. milioni 320 katika akaunti yake binafsi.
Kampuni ya SAAFI inadaiwa Sh. bilioni 17
Hii ni ya mwanasiasa mkongwe, Mzindakaya.
Halmashauri 40 hivi ndo zenye hati safi kati ya halmashauri zaidi ya 160 Bidhaa bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapa hapa nchini.
Upigaji huo wa ukwepaji kodi. Bidhaa za bilioni 89 za nje hakuna ushahidi kama zilienda Rwanda, Burundi na Uganda.
Rufaa za kodi nyingi mno zimedoda Mahakamani na hivyo kuikosesha serikali kodi Deni la Taifa hadi Juni 2015 lilifikia trilioni 33.5.
Ndani ya mwaka mmoja lilikua kwa trilioni 7! Malipo kwa deni kwa mwaka ni trilioni 4. Deni na mishahara inamaliza mapato yote ya taifa. CAG anahoji, tutapata wapi pesa za maendeleo? CAG Anataka maduka ya fedha za kigeni yadhibitiwe Vyama vya siasa, kimoja tu kimewasilisha hesabu.
Vyama 21 bado, Msajili afuatilie. Hajakitaja chama kilichowasilisha. Mishahara hewa katika Taasisi za umma 16 ni Shilingi bilioni 390.
Mishahara ambayo haikulipwa na haikurejeshwa hazina ni bilioni 2, Aidha Sh. Milioni 700 za makato ya watumishi kwa Katavi na Kilimanjaro hayakuwasilishwa kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia Sh. Milioni 827 za vifaa vya upigaji kura zilitumika kwa kazi isiyo na tija katika Uchaguzi 2015 Nakala 158,003 za Katiba Pendekezwa hazikusambazwa kwa walengwa wakati wa mchakato wa Katiba Mpya Alisema manunuzi yenye thamani ya Sh. Bilioni 27 yalifanywa na Mashirika ya Umma bila ushindani Cheti cha uendeshaji ATC kimeisha muda tangu 2010.
ATC ina Wafanyakazi wengi kuliko kazi zilizopo Bidhaa za bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapahapa nchini.
Nia ni kukwepa kodi! Bidhaa za Sh. Bilioni 89 za kwenda nje hakuna ushahidi kama zilienda Rwanda, Burundi na Uganda.
Hayo yalisemwa Mdhibiti Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad amekabidhi ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2015 bungeni leo ili iweze kujadiliwa na wabunge katika Bunge la bajeti ya mwaka 2016/2017.
Katika ripoti yake, CAG ametoa mapendekezo kadhaa ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili kuboresha matumizi ya fedha za Serikali kwa malengo yanayokusudiwa.
Miongoni mwa maeneo ambayo CAG ametoa mapendeklezo ni Ofisi ya Masjili wa Vyama vya Siasa nchini ifuatilie suala la uwasilishaji wa taarifa za fedha kwa wakati kulingana na matakwa ya sheria.
Hatua hiyo ya CAG inafuatia ukaguzi uliofanywa kwenye vyama vya Prof. Assad alisema kuwa kati ya vyama hivyo vyenye usajili wa kudumu, ni chama kimoja ndicho kilichowasilisha hesabu zake kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Vyama vingine 21 havikuwasilisha vitabu vya hesabu.

Post a Comment

0 Comments