Hii ni nyumba iliyojengwa ambayo iko katika eneo la Mikoko katika eneo la Kawe Beach.
Eneo la uzio wa nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare ambayo imewekwa alama ya X na kutakiwa ibunjwe kabla ya Januari 5 mwakani , mchakato huo umefanyika leo mchana.Askari akiimarisha ulinzi wakati mchakato wa kuweka alama nje ya nyumba ya Mchungaji Lwakatare.
Waandishi wa habari wakiendelea kuchukua picha wakati nyumba ya Mchungaji Lwakatare ikiwekewa alama ya X leo jijini Dar es Salaam.
Mlinzi wa Kampumi ya KK Security akizungumza na mmoja wa wanahabari lakini hakuwa tayari kutaja jina lake.
0 Comments