DAWA ZA KULEVYA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YAKE UANGALIZI MKALI

 Sehemu ya Kiwanda Cha Saruji Cha Wazo Hill Jijini  Dar es Salaam  ambako dawa za kulevya zimeteketezwa leo chini ya uangalizi mkali . Akizungumza  na waandishi wa habari mara baada ya kuzichoma moto katika kinu hicho Jaji  wa Mahakama Kuu Edson Mkasimonja alizitaja aina ya dawa hizo kuwa  ni Heroine na Cocaine ambazo zilikamatwa miaka kadhaa Mbezi Jogoo.
 Jaji wa Mahakama  Kuu Mkasimonja  akitia saini kwenye kitabu kabla ya kuanza zoezi la kuchoma dawa hizo zenye thamani ya Shilingi Bilton tano.
Hapa baadhi ya Askari wakiimarisha ulinzi  chini wakati zoezi la kuchoma dawa hizo likiendelea.
Mfuko ambao unaonekana juu ambao ulikua u eh idadi wa dawa hizo.
Mkurugenzi wa Mashtaka  Biswalo Mganga aliyejishika usoni akiwa amesema ma karibu na eneo la kuchomea dawa hizo.

Post a Comment

0 Comments