KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YATOA ZAWADI YA XMAS NA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA

Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akimkabidhi mwanafunzi Alice Chacha  anaeishi na kulelewa katika kituo cha yatima cha Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu .

 kwa watoto yatima wa Kijiji Cha Furaha kilichopo Mbweni anashudia katikati ni Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu 
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA.

Post a Comment

0 Comments