TAHAFADHARI KWA WATU WANAOHUDHURIA KILELE CHA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI KATIKA UWANJA WA MWL JULIUS NYERERE, NANE NANE MOROGORO.
KUNA KUNDI LA VIBAKA WAMEHAMIA KATIKA MAONYESHO HAYO KWA KUIBA FEDHA KWA MITINDO YOTE IKIWEMO MCHEZO WA KARATA TATU, KUKWAPUA MIKOBA, KUCHANA MABEGI NYEMBE NA KUCHUKUA FEDHA NDANI YA MIKOBA HASA ILE YA AKINA MAMA NA WATU WANAONEKANA KAMA NI WASHAMBA MACHONI MWAO.
CHUKUE TAFADHALI KWA WATU WATAOENDA AMA WALIOPO NDANI NA MAONYESHO HAYO AMA KUMJULISHA AU KUMPA TAARIFA NDUGU, RAFIKI N:K.
MAENEO HATARI KATIKA MAONYESHO HAYO NI YALE YENYE MKUSANYIKO WA WATU WENGI IKIWEMO ENEO LA MABEMBEA NA ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MAARUFU KAMA WAMACHINGA JIRANI NA BANDA LA JKT.
0 Comments