Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Rais Barak Obama wa
Marekani kwenye ukumbi wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la
Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Obama
wa Marekani Agosti 6, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Rais Barak Obama wa
Marekani kwenye ukumbi wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la
Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Obama
wa Marekani Agosti 6, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika
(AU), Mhe. Dkt. Nkosazana Dlamini-Zum wakimsikiliza Rais Barak Obama wa
Marekani wakati akiongoza Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la
Afrika uliofanyika jijini Washington DC Agosti 6, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa
kimataifa Mhe Bernard Membe na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.
Librerata Mulamula kwenye Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la
Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais
Barack Obama wa Marekani Agosti 6, 2014.
0 Comments