Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Watu wa China, Jenerali Chang Wanquan
(Kulia) na waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi
wakikagua gwaride rasmi lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na JKT, Dar es Salaam
leo.(PICHA KWA HISANI YA JWTZ)
KURUI ,KISARAWE KUMEKUCHA 'JAFO CUP'
-
Na Khadija Kalili Michuzi Tv
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana zimetoka sare ya goli moja moja
ikiwa ni katika hatua ya kuwania kucheza mechi...
2 hours ago
0 Comments