TIMBER LAND JOGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA
Baadhi ya wtoto wakifuturu wakati wa futari iliyoandaliwa na klub ya jogging ya timber land iliyopo yombo kilakala
Baadhi ya kina mama na watoto nao wakipata futari
BAADHI YA WANACHAMA WANAWAKE WA KLUB YA TIMBER LAND YA YOMBO KILAKALA WAKIPATA FUTARI YA PAMOJA |
Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya yombo kilakala ,biCarren-Flora Mgonja wa pili kushoto akiwa na baadhi ya wanachama mara baada ya kumaliza futari |
Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya yombo kilakala ,bi
Carren-Flora Mgonja akizungumza wakati wa futari hiyo
Makamu Mwenyekiti wa Timber Land Chorai JAohn akizungumza
Kanali Mstaafu Iddi Kipinguakitoa nasaha zake
Diwani wa kata ya yombo kilakala bi, Elizabeth Magwaja akiongea
0 Comments