Mpigapicha bora wa mchezo wa masumbwi nchini mwaka 2014 / 2015 Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa katika pozi
Mpigapicha bora wa mchezo wa masumbwi nchini mwaka 2014 / 2015 Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa katika pozi kwa kuishika kamera
Meneja
Mpango wa Uchangiaij wa hiyari kutoka PSPF ,Mwanjaa Sembe kushoto
akimpatia ya tuzo ya upiga picha bora wa mchezo wa masumbwi pamoja na
uhamasishaji mchezo huo Rajabu Mhamila ‘Super D’ wakati wa utoaji wa
Tuzo hizo kwa mabondia zilizofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar
es salaam picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
0 Comments